Makapuku Forum

Katika igizo hili niiligiza kama mchungaji mwenye utata, lengo ni kutoa ujumbe wa kuwasuta wachungaji wenye tabia za utata japo hujizolea umaarufu wa muda, kwa kuwahadaa washirika na jamii.
Kimsingi siipendi hii tabia inadhalilisha kanisa sana.
Naikataa roho hii mbaya kwa jina la Yesu.
Wakuu nawaaga hadi baadae nawapenda sana.
Cc.
My broo manuu
Youngbood
Th name
Mandelaa kiwelu
Bitoz
Valentina
Nahrene
Ameizing lady
Patience123
Lizzie
Emmyguy
Aggyjay
Jimena aka akili kubwa
Na makapuku jamaa na marafiki
Bye
 
Mupenzi unikumbuke japo kwa barua.
 
Bye!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…