Makapuku Forum

Shimbaaa!

Unaongea ukweli mtupu..!

Leo umekula nini mkuu?
Kila siku huwa naongea ukweli. Sema tu huko nyuma Shunie alikuwa ananichanganya na kuwinguisha fikra zangu (cloud my mind). Tangu niponyoke huko naona nimekaa sawa mpaka mwenyewe najishangaa [emoji23][emoji23][emoji23]. Uhuru ni hekima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…