Na ukienda kwa "mastaa" unaonekana unajipendekezaUkienda kwenye thread ya mtu ukapiga stori unakula ban sasa hivi..
Bora hapa kijiweni kwetu makapuku..!
Hongera ni kwa Makapuku wote coz tuna ushirikiano km mchwa...simmeona Wakongwe Forum ilivyokufa kwa aibu maana walijaribu kujibu mapigohongereni sana kwa kubuni hii kitu mmetusaidia na sisi wengine kujiachia
Hongera ni kwetu soteHongereni kwa kuliona hilo
Mzee mkavu heshima yakoKweli shem kuhusu thread kufa haitokuja kutokea
Mkuu nijuze seoson nzur nzurInto the badlands ina dakika ngap maana niliyonayo episode inaishia dk 23.
Mkuu kesho nitaweka bundle la kutosha ila sitakuwa na cha kueleza zaidi ya kujibu maswali yatakayoulizwa hiyo ishu labda ataelezea MussoliniHabari za mchana..
Bitoz kama utaandaa biography utueleze ulipataje idea ya kuutengeneza makupuku forum.
Pia uruhusu tuulize maswali.
....
Alikuwa ananyapianyapiaa kazi yakooMkuu mondray
Nimekuuliza tuuKivipiiii jamanii dear
God of ArenaMkuu nijuze seoson nzur nzur
Ushirikiano ambao huko humuNa ukienda kwa "mastaa" unaonekana unajipendekeza
Hiyo sheria ya ban imeanza lini!
Hongera ni kwa Makapuku wote coz tuna ushirikiano km mchwa...simmeona Wakongwe Forum ilivyokufa kwa aibu maana walijaribu kujibu mapigo
Hongera ni kwetu sote
One love
........
Kama yeye hataki kunisalimia basi inabidi mie ndo nimsalimie
Unamsalimiaa dogo
Hapana dear sema tokea majuzi nilikuwa nimetingwa kinomaa Leo ndo naibuka tangu asubh niko free mpaka nimeskip postNimekuuliza tuu
Ni spatucus namba 2.God of Arena
Hao mastaa ndo wepi tenaNa ukienda kwa "mastaa" unaonekana unajipendekeza
Hiyo sheria ya ban imeanza lini!
Hongera ni kwa Makapuku wote coz tuna ushirikiano km mchwa...simmeona Wakongwe Forum ilivyokufa kwa aibu maana walijaribu kujibu mapigo
Hongera ni kwetu sote
One love
........
Tumuongezee mkia niniKama yeye hataki kunisalimia basi inabidi mie ndo nimsalimie
Mie SijamboMkuu mondray
Kwema humu dr. LeeMzee mkavu heshima yako
Uko fity? ShemMie Sijambo
Pole kwa ubusyHapana dear sema tokea majuzi nilikuwa nimetingwa kinomaa Leo ndo naibuka tangu asubh niko free mpaka nimeskip post
ila mkuu mlinzi nilikaribishwa na Mimi nikakaribishaaUshirikiano ambao huko humu
Never seen before
Kila uchao wanaibuka new kapukuz member
Live long makapuku