Hii ni thread maalumu kwa ajili ya vijana kukutana na kujadili mambo mbalimbali kuhusu maujanja ya maisha pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili maishani pamoja na za Jf
sitaki nimekosea kuandika hapo juu nilitaka kuongea kuhusu lee kwenye msg yako nimeanza na baby nilitaka kufuta sijaona halaf nimestukia nimesend itaniletea kesi
Mungu aingiliekati,Roma na wenzake wapatikane wakiwa salama,na awape wanafamilia ya Roma na wote waliopotea faraja kuu itokayo kwake Mungu Baba ambaye ndiye mwanzo na mwisho Amen