Makapuku Forum

Mpenzi Shunie nakumis sana na nakupendaa sana na sina na hofu na wewe ulipo roho yangu ipo
nimeingia tu kapuku nakutana na ujumbe wako
nimekumiss pia lee wangu
nakupendaa nakupendaa yaan nakupenda wewe tu cheusi wangu


nikutakie usiku mwema ulale salama unijie ndotoni kama kawaida hii hali ya hewa acha i wish ungekuepo ndio hivyo ila jua nipo nyuma yako
 
Nothing to add dear .. inshort we are together ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…