Makapuku Forum

Ile Movie ni balaa japo wanasema movie ya Hotel Rwanda ndio imebase katika uhalisia zaidi.

Pia kuna movie inaitwa Shooting Dogs nayo yaelezea kuhusu mauaji ya kimbari.
Hii nakumbuka vizuri kuna mjeda amecheza muvi vizuri sana hii pia wahusika wamecheza vizuri sana Hii sijawahi kuicheki ngoja niitafute
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…