Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sizzya akileta shida nachepusha urafiki, u know ntakwambia je!
Achana naye ana matatizo ya tumbo kila ck huachia vitu kitandani...hujamwacha tu wew?
Hata kumkubali bado ila mazungumzo ndo yako sehemu nzuri, sasa acha fitina usifanye nikamkubali kwa kile kigezo cha mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
Cc sizzya007
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom