Mimi naomba kwanzia leo nichukue jukumu la "NUKUU YA LEO "
Itakuwa Segment ya kila siku ( siku za jumatatu mpaka jumamosi) asubuhi, kama nisipoweka asubuhi nitaweka jioni.
Naomba niitende haki hii..nitakuwa naweka kwa nukuu kwa lugha ya kiingereza na kiswahili..then nitadadavua kidogoo juu ya Nukuu..
Siku ambayo nitatingwa mtaniwia radhi wakuu..
All the best wakuu..
Mkuu sio wote tunazo access kama PA binafsi nimtumiaji wa simu kukupa backup ya picha nitakuwa muongo ndio maana nakuwa msemaji na msomaji mzuri kuliko kutoa backupKuna kiyu kaongea bitozi kua kupost labda magazeti halaf watu hawampi sapoti hiyo inamvunja moyo mletaji. Nisiwe mnafiki mm ni mmoja wapo niliovunjika moyo ila kiasi chake lee anajitahidi kunipa spirit ya kuendelea kwa kuweka picha.
PointBitoz na wadau wote wa Makapuku, heshima kwenu.
Kwanza, umeongea jambo zuri na la kufikirisha, yale mambo uliyotaja kuwepo kipindi hicho na kwa sasa yamekosekana yaweza kuwa sababu ya kuwepo kwa majukwaa mengine mahsusi kwayo, na ndiyo maana hakuna mdau anayejaribu kuweka kapuku songs japo za kubabia, lakini kwa mwongozo uliotoa basi hii segment inaweza kuwepo humu baada ya kuwa tumepata magazeti toka kwa lee empire na Shunie na historia ikiongozwa na Mussolin5 na bila kusahau kazi nzuri unayofanya Bitoz ya kunogesha historia kwa mapicha.
Kitu kinachoifanya Makapuku kuwa ya kipekee ni dhana nzima ya "acknowledgement" wataalamu wa maswala ya Utawala na Mahusiano wanasema ni muhimu kutambua mchango wa kila mmoja hata kama hukipendi na hii inatoa fursa ya kuelewana na kuelekezana, majukwaa mengine yamekosa hili isipokuwa hapa. kwingine ni kila mmoja kujidai anajua, anakaa Dar na ana gari, na kujiona bila 'yeye' jf au jukwaa fulani halip. Nimekuwa huku kitambo, nbajua naongea nini.
Kapuku forum ni 'da bomb'- 'Excellent, the best'
Thread kukosa mvuto, hii inaweza kuwa kweli au si kweli kutokana na nani anaitoa hoja hii, kwa mgeni huku anaona kapuku ndiyo forum iliyochangamka sana (bila kujali kinachochgangiwa na wadau-iwe ni story zisiszoisha, BS, na blah blah nyingi).
Well, bado kuna muda wa kuboresha kwa hoja chokonozi uliyoleta.
Heshima kwako na wadau wote. Usiku mwema.
Mondray mida ya swala usijesema nimekesha humu tena
Nilitaka kuwajulia hali tu ngoja niendelee na biashara zangu maana muda ni maliSalama
Sasa tupo sawia mkuuUkifuatilia mtiririko wa hii mada utakuwa umeelewa MAONI YA MEMBERS
Na ww Unaweza pia kushauri
............
Salama mkuuHabari zenu wakuu?
Baby ake!Hunie
Everton anaongoza 1-0 hapo OTmm kapuku najihisi kama nipo kiwanja cha nyumban kama vile old trafford huko kwingine sina uhuru napo yaan humu mtu unakua upo free mnaongea vitu tofauti
yote kwa yote mtakayoafiki na kuongeza tupo pamoja mbarikiwe
Nafuatilia ila siamini nikionachoWakuu tukutane asubuhi maana game la Man Utd v Everton linazidi kuchanganya
Nawashukuru wote mliotoa maoni
One Love
...............
InshallahNilitaka kuwajulia hali tu ngoja niendelee na biashara zangu maana muda ni mali
kazi ipoEverton anaongoza 1-0 hapo OT
Ndio shemhivi kumbe nawe n man u
Si kitotokazi ipo
Sio kweli mm mara nyingi nipo intelligence na chitchat pengine napita kuvuruga watu.Ww kila jukwaa upo
na jukwaa la wakubwa kule unakuja kuvuruga watu na mmu jeSio kweli mm mara nyingi nipo intelligence na chitchat pengine napita kuvuruga watu.