Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Kwanzia muvi inaanza mpaka mwisho we bado unaongea tu [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kwanini mgeni
Kwanzia muvi inaanza mpaka mwisho we bado unaongea tu [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kwanini mgeni
Matt DamonJE WAJUA? ?
Matt Damon sura yake inafanana na mastaa wawili upande wa kulia ana sura ya Leonardo di caprio na upande wa kushoto ana sura ya Mark Wahlberg
Ndio unageuka rufufuKwanzia muvi inaanza mpaka mwisho we bado unaongea tu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ongeza ya MarkMatt Damon
![]()
![]()
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ni actor,producer na scrpt writtet
Baadhi ya movie zake ni the Martian,good will and the departed
Leonardo di caprion
![]()
![]()
Mark
![]()
Aisee hizi nondo hatar sanaMatt Damon
![]()
![]()
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ni actor,producer na scrpt writtet
Baadhi ya movie zake ni the Martian,good will and the departed
Leonardo di caprion
![]()
![]()
Mark
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio unageuka rufufu
JE WAJUA??
Brazil wamekua wakiwatumia bata bukini (geese) Kama walinzi wa magereza
Ongeza ya Mark
Aiise wakimuona mfungwa anatoroka wanapiga kelele au wanakabiliana naye?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] walitusaidia sana aiseehJE WAJUA??
TISHETI ziligunduliwa mwaka 1904 kwa ajili ya mabachela wasioweza kushona au kurudishia vifungo vikitoka kwenye shati.
Hao bata ni wakaliAiise wakimuona mfungwa anatoroka wanapiga kelele au wanakabiliana naye?
Alifariki August 18 mwaka 1227Duuuh
JE WAJUA??
Sadam hussein alilazimishwa kuangalia muvi ya
South park mpaka mwisho mara nyingi zaidi kipindi alipokamatwa.
Mambo makubwa aya kupatikana dunianiGood
![]()
R.i.p [emoji120] [emoji120]Alifariki August 18 mwaka 1227
South Park inahusu nini?