Makapuku Forum

Anasemaje tena
Aaah anajing'atang'ata mara oooh nina pesa nyingi sema na jimena akikibali ntakupa, cjui nin nlamwambia acha ujinga, kaa na pesa zako mimi soo lara1 one, ila ntasema na jimena.
Jimena naona atakufaa shem wasemaje?
 
Huyo hafai, ogopa sana mtu anaejitangaza kuwa ana fedha, maaana anathamini pesa kuliko utu wa mtu.
Hivyo nakutuma ukamjibu hivii " kama pesa zake ni dili basi afunge ndoa na bank"
Asante kwa ujumbe ila hapana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…