Makapuku Forum

HII NDIO SABABU ILIYONIFANYA NITOE ILE AVATAR YA MICHAEL SCOLFIED. HUYU NI MTU WA TATU SASA.
DahafrazerilJF-Expert Member
[HASHTAG]#217[/HASHTAG]
2 minutes ago

Joined: Jul 28, 2015
Messages: 549

Likes Received: 468

Trophy Points: 80
New

Mbona hii ikobomba pia broo
Unanishaurije.
Kama ipo bomba ni sawa!

Binafsi naipenda ile ya mdada fulani hivi "Kama kaona aibu vile".
 
Napenda kuwa kumbusha tena kwa MSISITIZO MKUBWA, [b/] tarehe 09. 04. 2017 Jukwaa litakuwa linatimiza MWAKA MOJA toka lianzishwe. Maandalizi ya
Kipi kafanyike zaidi katika kupongezana na kukabiliana na Changamoto za kila siku humu.
IKIWEZEKANA ka festival flani hivi kafanyike pia?
NAOMBA KUWASILISHA HOJA.
 
Mume mwenza (Lee). Nimekuta mahali watu wanazozana eti hili guu ni la Shunie
. Huyu Shunie huyu anapendwa na kutamaniwa na wangapi hapa JF? Ana uzuri wa aina gani huyu Shunie? Kama nilivyosema jana, mi nimeamua kuhamishia majeshi Kigali. Endeleeni kugombania huyu Shunie wenu hapa JF
 
Atakuwa anadamu au nyota ya mchanga wa ACCACIA
 
Atakuwa anadamu au nyota ya mchanga wa ACACIA. Kwani sio Pombe, wala Spika au Katelephone (kasimu) wote walikuwa na hamu ya kuushika.
 
Kukaribisha watu kumbe ndo walivo hivi ??

My swty shunie kazi tunayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…