Makapuku Forum

Shem mdogo wako kiukweli kwenda hospital tuone kama mungu atajalia naweza k uitwa Baba na yeye mama ila aliyenae ananiupdate yuko vizuri na mmi ntakuwa nae soon
Usiwe mbali nae mkuu..

She need to see you very close..

Hapa ndo mwanamke anaihitaji uwe close.. ule msemi wa uchungu wa mwana aujuaye mzazi...walipindisha tuu..

Ilitakiwa iwe uchungu wa mwana aujue mama..
 
Kabisa mkuu najitahid sana ila kufikia saa 4 ntakuwa nae nakaribia si unajua kutafuta mkate wiki nzima nilikuwa mbali kidogo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…