Makapuku Forum

Lol, una matatizo sana, niite mwinjilisti
 
mods hawapendi utoke nje ya mada kwenye mada ya watu unapewa ban hiv hivi mm ndio mana nipo makini sana unaweza niquote nisijib sbbu ya ban

uzi gan uliweka mmu
Ulikuwa mzuri make ndani ya dakika replay sio za nchii hii ...ulisema kwa nini wanawake hawaolewi?? Nkawashushia nondo mujarabhu watuu wakatoaa ya moyoni ila majibu yote yalikuwa wanawake wanakwepa wanaume mfano unafunga pm ,kw3nye daladala unajifanya unasikiliza headphone n.k
 
aksante sana nimeona mwanahakati kiboko yao
 
utakua haujafutwa utakua umeunganishwa na uzi mwingine

mods wakiona umeweka uzi na ulishawahi kuwekwa siku za nyuma zinafanana wanaunganisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…