lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
NimekujaKabisa ndugu yangu na wewe utachagua kuwa msikilizaji ama utaweza kuchangia tu na kadiri discussion itakvyokuwa inaendelea utapata jambo hapo..Shemeji yangu lizziebettie unahitaji hapa tafadhali..
Inabidi tumteue mtu amfanyie counseling mapema naona huyu kijana anaweza akabugia sumu ya panya..Mapenzi ni hatari sometimes
Mkuu sio lazima uniaminiMimi pia huyu mchungaji simuamini kabisa.
Mkuu sitaki uniombee tena.Mkuu kulikoni
yeye ana jini na wewe una nguvu ya giza ..Hebu jinyooshe, halafu lete ushuhuda kilicho tokea
Yeye nichawi, nguvu yake na yangu hazipatani
Mbona wew ulirudi?
Mbona wamzulia haya mume wangu? Mimi mwenyewe kanigawia upako ninatoa mapepo,kama vipi njoo kwa mama mtumishi,hapa matatizo yako yamefikia ukomo.Mkuu nakuomba usirudie kuombea ndoa yangu, tena nimegundua wewe mwenyewe una mapepo.
Huko kunamuujiza na kufanikiwa tuMbona wew ulirudi?
Toa ushuhuda kama kuna baya lolote nilikufanyia zaid ya maombi
Jaman si umepona unawasikiliza hawa?Kumbeeeee!!
AlikujaNdio wanaenda maombi hata wewe waweza kwenda kupokea muujiza
Haya baba paroko...Alikuja
Wewe ni jipu[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Eti.Mbona wew ulirudi?
Toa ushuhuda kama kuna baya lolote nilikufanyia zaid ya maombi
Jitoeni kwanza mapepo mliyonayo halafu ndiyo mje kutuombea sisi.Mbona wamzulia haya mume wangu? Mimi mwenyewe kanigawia upako ninatoa mapepo,kama vipi njoo kwa mama mtumishi,hapa matatizo yako yamefikia ukomo.
Acha wivu kijanaMbali nakusikia, mimi nimedhibitisha kuwa anatumia nguvu nyeusi na pepo wa kukataliwa ..
Na wewe ndiwe uwezae kunitumbua[emoji5]Wewe ni jipu
HahahaNdiyo maana ndoa yangu ilipata misukosuko baada ya huyu mchungaji feki kutuombea.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Na wewe ndiwe uwezae kunitumbua[emoji5]
Mtu na shemejie hao[emoji4]Na wewe ndiwe uwezae kunitumbua[emoji5]