Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,281
- 35,642
1. mswahili ni mtu mjanja mjanja
2. mswahili ni mtu anaeongea kiswahili
3. mswahili ni mtu anaeongea sana
kuna maana tano za neno we umesimamia wapi kati ya hzo3
ha hahhaha, umesema tano, umetaja tatu, hizo mbili ni zipi? na kwanini ziwe tano na si 7 au chini ya hapo.
BTW, nimesimamia kwenye uswalihina