Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
lugha iliyokuja kwa ndege na meli nimeielewa vzr kuliko hiko kibantuUkutubi ni record management
cheo kinanifit hko
lugha iliyokuja kwa ndege na meli nimeielewa vzr kuliko hiko kibantuUkutubi ni record management
Mkuu nimekupata vzr now I can fly within kapuku forum.....Kubwa la hapa Makapuku..
1. Kila mtu ni sawa na mwingine..we are all equal
2. Kila mtu anamheshimu mwenzake hapa..-No matusi
-No dharau
3. Unachangia as much as you can
4. Unapata like na wewe unagonga like
5. Upendo kwa members wote
6. Utani ni sehemu ya maisha ya hapa makupuku ili kutoa stress..
7. Hapa hakuna historia ya Bani, labda ukaipatie huko MMU kwa kujitakia..
8. Tunajadili chochote hapa ! Habari yoyote wewe weka hapa..ISIPOKUWA zile zinazovunja sheria za Jamiiforum
Karibu makapuku...
Nishakupika kwa 50% tayari

mswahili mpe hela ataifikisha salamaNitamwambia, niongeze yangu au niwasilishe maneno yako tu?
Mkuu na shukuru sana kwa kunipa confidence ya ku exist huku... Shedede stokuangushaAaaiseeh atamimi ilikuwa ivo ivo mkuu using'oke huku kapuku
Yaah mkuu japo mi skuanza kama wewe ila huku ni mahali salama. KaribuuMkuu na shukuru sana kwa kunipa confidence ya ku exist huku... Shedede stokuangusha
Maisha magumu jamani
Watu wametafuta wapenz wamekosa
Wakaamua kujiita wachungaji
Haya bwana endeleeni

mswahili mpe hela ataifikisha salama
Mkuu wa Mkuu Mimi pumzka vzr kesho nikuone tena!;!Wakuu mimi nawaacha..
Ngoja nipumzike....
Naiona kesho tayari hapa.
Sakayo akija mwambieni Nampenda ..
Utaapishwa kesholugha iliyokuja kwa ndege na meli nimeielewa vzr kuliko hiko kibantu
cheo kinanifit hko
nyie makapuku hamna aliejikwamua mpka leo
lugha iliyokuja kwa ndege na meli nimeielewa vzr kuliko hiko kibantu
cheo kinanifit hko
Wapo, wamejikwamua tayari, walikuwa wamekwama si unaona hizi mvua
Wote wana kazi zao ila ni hivyo tena humu ni familia moja kama wahindi kuishi familia zaidi ya sita kwenye nyumba mojanyie makapuku hamna aliejikwamua mpka leo
AmepataMkuu wa Mkuu Mimi pumzka vzr kesho nikuone tena!;!
1. mswahili ni mtu mjanja mjanjaHa hahhahahah, LBS (Laughing But Serious), sema mimi si mswahili niko huku Mtwara
Maweeeee!!!![]()
![]()
lilikuwa dume
sawa katibu kiongoziUtaapishwa kesho
Wote wana kazi zao ila ni hivyo tena humu ni familia moja kama wahindi kuishi familia zaidi ya sita kwenye nyumba moja
Amepata