Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Unapenda kujitenga sanalabda tunapishana tu
Unapenda kujitenga sanalabda tunapishana tu
Lakini na mimi nimeivaKubwa la hapa Makapuku..
1. Kila mtu ni sawa na mwingine..we are all equal
2. Kila mtu anamheshimu mwenzake hapa..-No matusi
-No dharau
3. Unachangia as much as you can
4. Unapata like na wewe unagonga like
5. Upendo kwa members wote
6. Utani ni sehemu ya maisha ya hapa makupuku ili kutoa stress..
7. Hapa hakuna historia ya Bani, labda ukaipatie huko MMU kwa kujitakia..
8. Tunajadili chochote hapa ! Habari yoyote wewe weka hapa..ISIPOKUWA zile zinazovunja sheria za Jamiiforum
Karibu makapuku...
Nishakupika kwa 50% tayari
sio kweliUnapenda kujitenga sana
Ndio kuisikia hiyo lugha.Hacha language
Ipo mkuu..Hivi kuna koz ya ukapuku!!!!
Sitaki ukorofi na mtu .Ni girl huyo au kidume?
Mpaka upewe rukhusa na mods mkuu invisibleLink tafadhar niwahi![]()
![]()
![]()
![]()
HahahaMaisha magumu jamani
Watu wametafuta wapenz wamekosa
Wakaamua kujiita wachungaji
Haya bwana endeleeni

Hahahaaaa!Ukikaa seat moja na mdada kwenye daladala au tax akaanza kukuangalia anatabasam ,,,,nakushauri usitabasam,,,
Narudia tena usitabasam mpaka pale atakapolipa nauli
Maisha magum siku hizi
Kweli.sio kweli
Hakuna kitu kama hicho jf..Mpaka upewe rukhusa na mods mkuu invisible
Jamaa siku hizi kawa cool kabisa
Napenda awe hivyo. Kipindi kile alikuja na speed ya bombadia

Sio magumu ila ni uamuzi tu humu ndani zaidi ya nne nani azibariki mama mchungaji yupo busy mimi nimejitolea kwa roho moja ili nizibarikiMaisha magumu jamani
Watu wametafuta wapenz wamekosa
Wakaamua kujiita wachungaji
Haya bwana endeleeni
Si kwa sababu yake ni roho mtakatifu kaniingiayote ni kwa sababu ya emmyta
hebu weka evidenceKweli.
Mgeni mnampa option hiyoNenda MMU beba mmoja mlete huku tumpe usajili wa kudumu tuongeze ndoa

Karibu Rorya Mara utapata maana yakeNdio kuisikia hiyo lugha.
Mond meaans Protector/protection
Ray means Advice.
In Germany language