Yaani yule jamaa, basi tuu. Ni mropokaji mzuri, hata mie amewahi nirushia maneno wala sikumjibu, wako wawili manunga embe. Nyuzi zao sichangii nasoma tuu napita