Makapuku Forum

Jamani, poleni na mihangaiko ya kutwa nzima.
Mie niwatakieni wote usiku mwema na wenye utulivu tele, Mungu wangu na awalinde wote na kuwapa wepesi wote wanaoumwa. Mie nalala Mungu akijaalia tutakutana tena kesho.

T sukari yangu, barafu yangu, moyo wangu na mume wa Malengo yangu unajua venye Nakupendaga mpaka baba mkwe anaona wivu
Naomba nilale mume wangu. Ulale salama sweetie
 
Sawa ma wife
Ulale salama kipenzi.
Nakupenda sana hadi T anaona wivu.
Always love you ma toto
 
usiku uwe salama na kwako pia tunawapenda sana
 
Wakati mwingine unaweza ukapendwa na mwanamke hadi ukajihisi humpendi..

Napata shiida sana kumuonesha huyu mwanamke namjali kutokana na anvyonijali..

Ukipendwa penda mara 10 yake..

Nakupenda saana utamu wangu! Nakupenda mke wa ndoto zangu..!

Nakupenda mama wa watoto wangu..

Ulale salama princess wangu S
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…