Makapuku Forum

Tunakumis Lee Mungu akubariki na akufanyie wepesi
 
Hahaha
Hivi yupo, sijamuona siku nyingii

Nipo mdogo wangu, leo nimeamua kulala siku nzima
hahahhah yupo nimekutana nae mmu kwenye uzi wanawake wanashobokea wenye magari

mm nilikua tofaut nao wakina Daby nikawaambia sio wote mara akaja manga akaniambia ndio mana mliniambia nitoe picha ya gari yangu kwenye avatar
nikakukumbuka ile tulivyombadilisha avatar kilazima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…