Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Usichekeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usichekeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thank youI real love you
Ani siwezi kuacha kumpenda queen coz love nisehemu ya maisha yanguUnasemaaaaa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sawasawaaaaamalkia muonee huruma muweke ata mgongoni
We furahi tyu shemela wanguunanifurahisha sana [emoji23]
Wakinaa naniiNzuri naona watu wanajigonga gonga sijui umewapa nn
[emoji23]Sawasawaaaaa
Mwanaume hatakiwi kukata tamaa haswa akiwa kwenye vita [emoji23] unanifurahisha sanaWe furahi tyu shemela wangu
Mlale sasaSawasawaaaaa
Ebuu kuwa siliasssShemela unajua ni vile nikipenda nimependa maneno yako shemela nikama kachumbali kwenye chips kavu nampenda queen kan malikia wa moyo wangu[emoji7] [emoji7]
Atakufa kiumeMwanaume hatakiwi kukata tamaa haswa akiwa kwenye vita [emoji23] unanifurahisha sana
hayo ya kutotabirika achana nayo angalia yaliyopo ila unatakiwa ujue tu wanaume wote baba mmoja na mama mmojaJapo namuamini ila wanaume hawatabiriki
Na ndo kitu nachofanya shemela am in a jungleMwanaume hatakiwi kukata tamaa haswa akiwa kwenye vita [emoji23] unanifurahisha sana
nakeshaMlale sasa
[emoji23][emoji23]Atakufa kiume
Ua na boganaona shemela kweli ukipenda umependa
Nabaki njia kuuhayo ya kutotabirika achana nayo angalia yaliyopo ila unatakiwa ujue tu wanaume wote baba mmoja na mama mmoja
hhhhahahahhaUa na boga
naona shemela kazana hivyo hivyoNa ndo kitu nachofanya shemela am in a jungle
michepuko sio diliNabaki njia kuu