Nilicomment sentensi nusu tu ya utani...hee ikachkuliwa serious, mtu acha akomae na mimi kuntafutaa! Afu enzi hizo sasa na viakili vya kitoto....ni vile tu niliepuka huo msala