Nimeipenda anaipenda kazi yake na atauza sana kwa kuwa wateja watamwamini smart na matunda masafi..jali chako mpendwa ukiamua kujiajiri be smart kupandisha thamani ya bidhaa yako
Sina hakika kama Mussolin5 kaiweka hii, lakini tarehe ya leo mwaka 2013 rais wa China akiwa Dar es Salaam katika ziara yake barani Afrika alisisistiza kuhusu kuimarishwa kwa mahusiano kati ya China na Afrika.