Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
NifeeeeeSindikiza na kapicha basi, [emoji39][emoji39][emoji39]
NifeeeeeSindikiza na kapicha basi, [emoji39][emoji39][emoji39]
Sasa kama frige mmeweka pili pili tuu unategemea nini?[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mke ndo umehamia huko? mbege?
Acha wivu na ww? ndo shida ya kupenda sana mda wote unahisi unaibiwa tuNawachoraa tuu
HahahaEti utamu wangu..?
Jina la sakayo hilo
nipm na mm bas[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ampendaeee
Mmi si ndo moderator
Kweliiii mkuuuNdo sababu nikwambia ile list yako ya best couple ulikosea..
Naamini umeprove mwenyewe sasa
Mondray na wewe ukuje hukuKweliiii mkuuu
HahahaAsanteeee dear
Naona sakayo amejitahid
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona hutaki kunisaidia shem wako, unapenda kuniona naparamia paramia loose ball njiani?
Utamu wangu ni wewe tuu..Hahaha
Ko mie utamu wa Shunie au
Kafata mkumbo wa Transcend hakuwa na tabia hii kablaKafuliaa
mapenzi yapo moyoni lkn mnatakiwa mjueKweliiii mkuuu
Hapo Sawasitaki dada nimeghaili
Hahahahaaaaa[emoji23][emoji23]Acha wivu na ww? ndo shida ya kupenda sana mda wote unahisi unaibiwa tu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ata ya malkia na livi wake nshaiogopaaBado unaendelea kuprove wrong kwenye ile list yako..
Andamanakwahiyo anatakiwa atamke sakayo tu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]nini baby
Mume wang c ww uliacha ninunulia zenye TBS[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mke ndo umehamia huko? mbege?
Hahahaha kumbe karibu hewa?Nifeeeee
Chakula rappa [emoji23][emoji23][emoji23]Nifeeeee