Makapuku Forum

Makapuku Forum

Viongozi wenye maamuzi ya kiseng*.....wapoooooooooo
Viongozi waliofoji vyeti.....wapooooooo
Viongozi wavuta bangi.....wapoooo
Viongozi wenye maamuzi ya kukurupuka.....wapooooo
Viongozi wasio na marinda...wapoooo

Ney wa Mitego

......
Wimbo wangu wa sikuu

Ndo true boy ninayemjua mm

Mkuu mpitie na Baghdad -usinipangie
 
Wimbo wangu wa sikuu

Ndo true boy ninayemjua ??

Mkuu mpitie na Baghdad -usinipangie
"Unaweza kumuua mtu lkn sio fikra zake, Unaweza kumfunga mtu lkn sio fikra zake, Unaweza kumteka mtu lkn sio fikra zake" Benazir Bhutto

Watu washamchoka Sizonje ataandamwa na kutukanwa mpaka aombe poo si anajiona mungumtu na maneno yake ya kipuuzi
........
 
Viongozi wasio na marinda...wapoooo
emoji444.png
Haha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom