Wengine kina nani?
Hvi adhabu ya kaburi aijuaye maiti sasa huyo mzikaji anajua humu ndani kuna mchanga wa aina gani?
Sasa nikumegee siri hili shimo tulilomo na mke wangu mchanga wake ni wa dhahabu,
But please usiongee kwa nguvu