Makapuku Forum

Pole mkuu
Pole ya nini mkuu? Kama una hoja ya kukinza hoja yangu hapo juu itoe tu mkuu. Binafsi huwa sipendi generalizations. Eti kwa vile umekutana na mwanamke mmoja akakufanyia vituko basi unalaumu wanawake wote. Mchaga mjanja amekuingiza mjini sasa inakuwa Wachaga wote matapeli. Hoja za aina hii mara nyingi ni myopic na zinaonyesha ukosefu wa umakinifu mkubwa na ukiangalia vizuri ni ukwepaji wa kuliangalia tatizo katika kiini chake. Ni hayo tu mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…