Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,681 lee empire said: Kwa hiyo niiachee?? Click to expand... iache siipendi kila mtu atumie nguvu yake mwenyewe
lee empire said: Kwa hiyo niiachee?? Click to expand... iache siipendi kila mtu atumie nguvu yake mwenyewe
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,682 lee empire said: Sio kuimis vileeee Fanyaga hivyoo Click to expand... hahahhhh nilijua tu
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 22, 2017 #146,683 Shunie said: hahahhhh kwahiyo ulitaka kujirusha Click to expand... Wewe acha tuu.... Niko ghorofa ya 13 hapa..
Shunie said: hahahhhh kwahiyo ulitaka kujirusha Click to expand... Wewe acha tuu.... Niko ghorofa ya 13 hapa..
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,684 Bailly5 said: Hodi humu namuuliza mkuu wa mkoa kipenzi cha watu yupo humu? Click to expand... huyo mtu akaoge maji ya bahari tume inaongea hapa aliikimbia ofisini kwake mwaka wake huu
Bailly5 said: Hodi humu namuuliza mkuu wa mkoa kipenzi cha watu yupo humu? Click to expand... huyo mtu akaoge maji ya bahari tume inaongea hapa aliikimbia ofisini kwake mwaka wake huu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,685 Transcend said: Wewe acha tuu.... Niko ghorofa ya 13 hapa.. Click to expand... Hahahhhh unataka kujiua ghorofa ya ngp tuje tukuone ukijirusha
Transcend said: Wewe acha tuu.... Niko ghorofa ya 13 hapa.. Click to expand... Hahahhhh unataka kujiua ghorofa ya ngp tuje tukuone ukijirusha
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Mar 22, 2017 #146,686 Shunie said: huyo mtu akaoge maji ya bahari tume inaongea hapa aliikimbia ofisini kwake mwaka wake huu Click to expand... Kazi anayo aisee. Jukwaa la wahariri walisema hawataandika chochote kumuhusu yeye
Shunie said: huyo mtu akaoge maji ya bahari tume inaongea hapa aliikimbia ofisini kwake mwaka wake huu Click to expand... Kazi anayo aisee. Jukwaa la wahariri walisema hawataandika chochote kumuhusu yeye
aganza JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 1,450 Reaction score 3,153 Mar 22, 2017 #146,687 Hello baby I miss you nakuja
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,688 Bailly5 said: Kazi anayo aisee. Jukwaa la wahariri walisema hawataandika chochote kumuhusu yeye Click to expand... na tume imeliongea hilo ajiuzuru tu
Bailly5 said: Kazi anayo aisee. Jukwaa la wahariri walisema hawataandika chochote kumuhusu yeye Click to expand... na tume imeliongea hilo ajiuzuru tu
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Mar 22, 2017 #146,689 Shunie said: na tume imeliongea hilo ajiuzuru tu Click to expand... Mkuu wa kaya kamwambia chapa kazi tu. Wewe unafikiri atafanya hivyo?
Shunie said: na tume imeliongea hilo ajiuzuru tu Click to expand... Mkuu wa kaya kamwambia chapa kazi tu. Wewe unafikiri atafanya hivyo?
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 22, 2017 #146,690 Makuri Charles said: tumekaribia makapuku Click to expand... Karibu sana
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 22, 2017 #146,691 jonal rashidi said: Tumekaribia makapuku Click to expand... Karibu sana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,692 Bailly5 said: Mkuu wa kaya kamwambia chapa kazi tu. Wewe unafikiri atafanya hivyo? Click to expand... Kwa bashite ataona sawa ila kwa mtu mwenye akili angejiuzuru
Bailly5 said: Mkuu wa kaya kamwambia chapa kazi tu. Wewe unafikiri atafanya hivyo? Click to expand... Kwa bashite ataona sawa ila kwa mtu mwenye akili angejiuzuru
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,693 aganza said: Hello baby I miss you nakuja Click to expand... baby wako yupo humu
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Mar 22, 2017 #146,694 Shunie said: Kwa bashite ataona sawa ila kwa mtu mwenye akili angejiuzuru Click to expand... Ndio basi tena. Akifanya hivyo mtampeleka mahakamani Kwa vyeti feki. Naona kama vike upepo tu maana hii nchi Kwa matukio hatuko nyuma
Shunie said: Kwa bashite ataona sawa ila kwa mtu mwenye akili angejiuzuru Click to expand... Ndio basi tena. Akifanya hivyo mtampeleka mahakamani Kwa vyeti feki. Naona kama vike upepo tu maana hii nchi Kwa matukio hatuko nyuma
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,695 Bailly5 said: Ndio basi tena. Akifanya hivyo mtampeleka mahakamani Kwa vyeti feki. Naona kama vike upepo tu maana hii nchi Kwa matukio hatuko nyuma Click to expand... mda utaongea
Bailly5 said: Ndio basi tena. Akifanya hivyo mtampeleka mahakamani Kwa vyeti feki. Naona kama vike upepo tu maana hii nchi Kwa matukio hatuko nyuma Click to expand... mda utaongea
aganza JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 1,450 Reaction score 3,153 Mar 22, 2017 #146,696 Shunie said: baby wako yupo humu Click to expand... Yupo
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Mar 22, 2017 #146,697 Shunie said: mda utaongea Click to expand... Mimi najiuliza wale waliogushi vyeti je naona walipelekwa mahakamani au bwana huyu?
Shunie said: mda utaongea Click to expand... Mimi najiuliza wale waliogushi vyeti je naona walipelekwa mahakamani au bwana huyu?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,698 aganza said: Yupo Click to expand... humu kapuku
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 22, 2017 #146,699 Bailly5 said: Mimi najiuliza wale waliogushi vyeti je naona walipelekwa mahakamani au bwana huyu? Click to expand... Bwana prince
Bailly5 said: Mimi najiuliza wale waliogushi vyeti je naona walipelekwa mahakamani au bwana huyu? Click to expand... Bwana prince
aganza JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 1,450 Reaction score 3,153 Mar 22, 2017 #146,700 Shunie said: humu kapuku Click to expand... Mh! Babu we mbona hivyo