Nyagei..,
Nataka nikutambishe kwa le super dada..! Dada yangu wa nguvu EMMYTA..
She is very calmed! ana heshima ya kutosha na kubaki...
Akija huki uwe unampokea na hata katika pita pita zako kule MMU usiruhusu mtu amsumbue...
Naaamini utaenjoy kumfahamu...
Endelea sasa kumuonesha mazingira ya nyumbani kwenu huku MAKAPUKU