Mtandao pekee ninaopost na kuutumia zaidi ni hapa JF
FB na insta nina akaunti lakini huwa sipost,kulike wala kushare chochote zaidi ya kusoma ishu mbalimbali mfano habari michezo n.k....watu ambao kwa siku wanapost mipicha yao kutwa mara 7 huwa nawaacha tu kwenye friend list ila siwafollow a.k.a nawaunfollow
WhatsApp nipo group la ukoo pekee tena huwa nauchuna zaidi
Natumia GB hivyo nafichaga hadi tick ili wajinga wanaotuma meseji za kipuuzi niwe nauchuna huku wao wakifikiri sina banco maana wanaona tock 1 pekee na status huwa sibadili mwaka mzima , picha ni mara mojamoja
Twitter,Viber, badoo n.k situmii kabisa japo simu ilikuja na app ya twitter lakini nimeiondoa
.....