Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,861 JE WAJUA?? Ray J anatengeneza kiasi cha Dollar 30000 kwa mwezi kutoka kwenye mkanda wa ngono alifanya na kim Kardashian
JE WAJUA?? Ray J anatengeneza kiasi cha Dollar 30000 kwa mwezi kutoka kwenye mkanda wa ngono alifanya na kim Kardashian
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,862 JE WAJUA? ? Mwanahisabati wa kifaransa Abraham de moivre alitabiri tarehe ya kifo chake baada ya kungundua kua hua analala Dk 15 za ziada kila siku
JE WAJUA? ? Mwanahisabati wa kifaransa Abraham de moivre alitabiri tarehe ya kifo chake baada ya kungundua kua hua analala Dk 15 za ziada kila siku
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 20, 2017 #144,863 Shunie said: ili tumjue Click to expand...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 20, 2017 #144,864 Mondray said: Wewe jamaa umenichekesha sana na harakati zako kama za pimbi. Vingine uwe unauliza ni vyamoto vinsunguza ohooo!!!! Click to expand...
Mondray said: Wewe jamaa umenichekesha sana na harakati zako kama za pimbi. Vingine uwe unauliza ni vyamoto vinsunguza ohooo!!!! Click to expand...
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,865 JE WAJUA?? MICROSOFT Imetengeneza Bilionea 3 na Millionea 12,000
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Mar 20, 2017 #144,866 Mondray said: Wewe jamaa umenichekesha sana na harakati zako kama za pimbi. Vingine uwe unauliza ni vyamoto vinsunguza ohooo!!!! Click to expand... hahaha et harakati kama za pimbi
Mondray said: Wewe jamaa umenichekesha sana na harakati zako kama za pimbi. Vingine uwe unauliza ni vyamoto vinsunguza ohooo!!!! Click to expand... hahaha et harakati kama za pimbi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Mar 20, 2017 #144,867 Mondray said: JE WAJUA?? Leonardo da vinci ndie aliyegundua mkasi Click to expand... Mkasi upi sasa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Mar 20, 2017 #144,868 Mondray said: JE WAJUA?? Ray J anatengeneza kiasi cha Dollar 30000 kwa mwezi kutoka kwenye mkanda wa ngono alifanya na kim Kardashian Click to expand... mpk leo hiyo hela inaingia
Mondray said: JE WAJUA?? Ray J anatengeneza kiasi cha Dollar 30000 kwa mwezi kutoka kwenye mkanda wa ngono alifanya na kim Kardashian Click to expand... mpk leo hiyo hela inaingia
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,869 JE WAJUA?? Wakati Facebook inainunua Instagram kwa 1 Billion ilikua na waajiliwa 13 tu
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,870 Shunie said: Mkasi upi sasa Click to expand... Mkasi wa nguo bibie
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,871 Shunie said: mpk leo hiyo hela inaingia Click to expand... Yaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapi
Shunie said: mpk leo hiyo hela inaingia Click to expand... Yaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapi
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 20, 2017 #144,872 "Ukiona swala anaringa saaana mbugani ujue simba ni boyfriend wake"
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 20, 2017 #144,873 Mondray said: JE WAJUA?? Wakati Facebook inainunua Instagram kwa 1 Billion ilikua na waajiliwa 13 tu Click to expand... Billion ya madafu au dollarzzzz???
Mondray said: JE WAJUA?? Wakati Facebook inainunua Instagram kwa 1 Billion ilikua na waajiliwa 13 tu Click to expand... Billion ya madafu au dollarzzzz???
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,874 Shunie said: hahaha et harakati kama za pimbi Click to expand... Msaidieni nayy apate jamani si unaona anavamia mali za watu
Shunie said: hahaha et harakati kama za pimbi Click to expand... Msaidieni nayy apate jamani si unaona anavamia mali za watu
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,875 werrason said: Billion ya madafu au dollarzzzz??? Click to expand... Dollars mkuu Mark pesa madafu hazijui
werrason said: Billion ya madafu au dollarzzzz??? Click to expand... Dollars mkuu Mark pesa madafu hazijui
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 20, 2017 #144,876 Mondray said: Yaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapi Click to expand... 66,900k i.e milioni sitini na sita na laki tisa
Mondray said: Yaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapi Click to expand... 66,900k i.e milioni sitini na sita na laki tisa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Mar 20, 2017 #144,877 Mondray said: JE WAJUA?? Wakati Facebook inainunua Instagram kwa 1 Billion ilikua na waajiliwa 13 tu Click to expand... sasa hivi ina waajiliwa wangp
Mondray said: JE WAJUA?? Wakati Facebook inainunua Instagram kwa 1 Billion ilikua na waajiliwa 13 tu Click to expand... sasa hivi ina waajiliwa wangp
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Mar 20, 2017 #144,878 Mondray said: Mkasi wa nguo bibie Click to expand... Ooh
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 20, 2017 #144,879 JE WAJUA?? Kila mwaka paka Milioni 4 wanaliwa nchini china
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Mar 20, 2017 #144,880 Mondray said: Yaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapi Click to expand... na Kim nae anapata au ni yy ray j peke ake
Mondray said: Yaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapi Click to expand... na Kim nae anapata au ni yy ray j peke ake