Makapuku Forum

Makapuku Forum

KAPUKU let's think and re-think on the decision made by sizonje .....I see negative impacts on it coz even in normal case how Tanzanian doctors become the solution...anyway let's wait and see

Honestly I feel so dizzy
 
Dah
9d1100b2fc552dead43d502039be4652.jpg



Kapuku wenzangu hasa wale wanazi wa arsenal ...Ila kwanza pole sana najua mna mioyo ya uvumilivu...
Ila nilichokiona jana sasa ni dhahili
3dd4f8ddb572a78999d4b9fb7e225c51.jpg


Arsenal wameamua kumlazimisha sasa Arsen aondoke..... Wanakosa passion, wanakosa kujiotoa, wanakosa mbinu, pia individual skills haifanyi kazi kama hapo awali.

Unapokwenda ugenini kukutana na timu kama West Bromwich Albion na ukaonesha kuwa saikolojia yako imeyumba ki ukweli ni lazima Albion wajivunie hali uliyokuwa nayo na wakuazibu tu......

Sasa ili kuiokoa Arsenal kimbinu, kisaikolojia, kurudisha passion kwenye timu, kurudisha morali ya mashabiki, kurudisha Imani ya mashabiki iliyoyumba mda mrefu pamoja na kuikata ile kiu ya ndoto za mafanikio kwa mashabiki na wachezaji wa arsenal basi ni Mzee wetu, babu yetu, mzee Arsen Wenger kupisha ili falsafa mpya za watu wapya zije kuiokoa na kuiweka pale Mashabiki na wachezaji wanaamini timu yao inastahili kuwepo.

Hiki ni kipindi kigumu sana kwa Arsenal kiujumla kutokana na kupambana na mambo mawili makubwa kwa wakati mfuatano...... Hapa Arsenal anapambana kuhakikisha anabaki katika zile timu nne za juu(top 4) lakini pia wanavita ya kuhakikisha wanapambana ili kumuondoa mzee wetu Arsen Wenger...... Hapa panahitaji maombi na kufunga siku uwezavyo.

Huu ni Msimu wa lawama..... Wacha tulaumiane.

Ft: West Bromwich Albion 3-1 Arsenal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom