Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Aiseee! Mfate tuuu![]()
![]()
![]()
![]()
Ebu njoo pm kwanza
Aiseee! Mfate tuuu![]()
![]()
![]()
![]()
Ebu njoo pm kwanza
Mwambie shemu maajabu ya kapukuTena ww kaa kimya kisa cha kunisaliti tena kwa shemej yako n nn
Now yupo nammKoma kabisa na uzuri clkey ashakutemaa
Hapana aiseewMkewe wangu achana na watu wenye wivu!
Lets move!
Wewe unamcheka brooh!
Kataaa kabisaHapana aiseew
Lisu katoboa?Kwani ushapata matokeo?
Aisee! Unamuweka shunie pabaya..Twende kaziii mkuu
Ila nihaid hutomtamani shunie
Tangu janaaaLisu katoboa?
Hahaaaaaaaa! Daah ! Nilikuwa wapi huu muda?Mpendwa clkey ray vany ni kapuku mwenzetu tumekua nae ni kijana mstaarabu kabisa sio kama transcend![]()
![]()
![]()
Kiukweli anakupenda sana tena sana fungua moyo wako tunapenda uendelee kuwa shem wetu na hutojutaa
Wanasema matokeo badoLisu katoboa?
Tumechoka na tabia zakoHahaaaaaaaa! Daah ! Nilikuwa wapi huu muda?
Wanafunzi wangu mnachekesha sana
Hahahaaaa! Daaaah! Na wewe piaPia ni kijana anaye jua kujali hutokaa chozi likudondoke ukiwa na huyu mdogo wetu.
Tafadhali sana Clkey muelewe mdogo wetu
Napitia comment moja baada ya ingine...Sambaza love kwa Clkey
Hahahaa! Macho yanguMoyo wako umemdondokeaa yeye
Kwahiyo unaniambiajeTatizo una haraka sanaa
Hahahaaaa! Poleni wadogo zangu...Umeona na kuchapia anachapia yote kwa ajili yako Clkey
Hahaaaaaa! Jamani mkiweza kumtongoza akawakubaliNawauliza mmeagizwa nyie shemej zangu?
Jamaniii mapenzi kikohoziiTatizo una haraka sanaa