Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
KabisaaaYaaan atamsaulisha yote aliyotendewa na transcend
Clkey sema neno moja tu na roho yake itapoa
KabisaaaYaaan atamsaulisha yote aliyotendewa na transcend
Clkey sema neno moja tu na roho yake itapoa
Shemeji yetu ni muelewa sana nenda tuMpaka aruhusu kwanza
Kweli kabisa mkuu nateseka ajili ya clkeyHatujaagizwa tunafanya kwa upendo mmoja mdogo wetu anateseka sana juu yako
Ww umejuaje kama anatesekaHatujaagizwa tunafanya kwa upendo mmoja mdogo wetu anateseka sana juu yako
Hapana siwez kwenda sasa hv bwana mpaka aseme hapaShemeji yetu ni muelewa sana nenda tu
Tunajua unaona aibu hapa
Kuna swali chini huko mjibuShemeji yetu ni muelewa sana nenda tu
Tunajua unaona aibu hapa
Alikuwa anatania alafu pia mapenzi hayajali umriWw umejuaje kama anateseka
Huyo c juzi alisema kuna mtu anampenda
Halaf pia n mdgo wangu sanaaa
MuoneAlikuwa anatania alafu pia mapenzi hayajali umri
Huku alisema kwa utani ila tunapokaa nae na kuongea huwa anatuambia yaliyo moyoni ndio maana tumekufuata kwa kuwa tuna imani nawe huwezi kutuangusha katika hili,Ww umejuaje kama anateseka
Huyo c juzi alisema kuna mtu anampenda
Halaf pia n mdgo wangu sanaaa
Sijamtaja mtu mwenyewe yawezekana ni wwWw umejuaje kama anateseka
Huyo c juzi alisema kuna mtu anampenda
Halaf pia n mdgo wangu sanaaa
Just feel what he feel on youWw umejuaje kama anateseka
Huyo c juzi alisema kuna mtu anampenda
Halaf pia n mdgo wangu sanaaa
Hapana kuna mmja sio mm bwanaSijamtaja mtu mwenyewe yawezekana ni ww
Hujiamini?Hapana kuna mmja sio mm bwana
Na mm nshamwelezaaHuku alisema kwa utani ila tunapokaa nae na kuongea huwa anatuambia yaliyo moyoni ndio maana tumekufuata kwa kuwa tuna imani nawe huwezi kutuangusha katika hili,
Sijamtaja kabisa nimemuweka rohoniHapana kuna mmja sio mm bwana
Shemu yote ya nini ...Hapana kuna mmja sio mm bwana
Nampenda sana kweliNa mm nshamwelezaa
Cljey hutopata mwenye mapenzi ya dhat kamaa the boy ray
Tena sanaNampenda sana kweli