Makapuku Forum

Tena ww shunie tumetoka mbali sana usianiache,toka kwa monica,mke wa rais,vipepeo,peniela,baradhuli yaani nyingi kwa kweli mpaka sasa,una moyo sana wa kusoma riwaya mbalimbali halafu naona tunaendana ulipo ww nami nipo😀
Jamaniiiiii jamaaaaaaniiii hivi shunie ni wa kila mgeni humuu
 
Chezaa na woteee sio shunie

Inshort ni wangu
Mpaka shunie atoe tamko mkuu,in short nampenda huyu dada sasa kama ni mkeo wa ndoa sina jinsi ila kama na ww unafukuza mwingi haina jinsi mwenye kisu kikali ndo atakaemchukua.
 
Reactions: Lee
Mpaka shunie atoe tamko mkuu,in short nampenda huyu dada sasa kama ni mkeo wa ndoa sina jinsi ila kama na ww unafukuza mwingi haina jinsi mwenye kisu kikali ndo atakaemchukua.
Mkuuu mbona umekujaa na kasi ya ajabu ....utani mwingine haufaii

Shunie ebu njoo bhanaaaaah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…