Makapuku Forum

baby mm nakuamini sana kama kweli wanasema una mchepuko watajua wenyewe na hiyo michepuko ninachojua unanipenda nakupenda bas hiko ndio kikubwa
Hayoo ndo maneno sasa ....ata kwenye party siendi ng'ooooooo narudiiii mapemaaa
 
...si una kadi ya dabo, kama kweli huendi nipe nikajichotee ujiko kwa yule ninayekwambiaga, nitajifanya mimi ndo mwenye kadi
Bhinamuuu kadi nimeachaa pale kwenye kale ka kitabu kako ka sokomoko ....ebu ulambee ufaidiii mema ya nchi
 
Bhinamuuu kadi nimeachaa pale kwenye kale ka kitabu kako ka sokomoko ....ebu ulambee ufaidiii mema ya nchi

Ewaaa, hapo ndo nakuaminiaga sasa, nitaulamba hadi bob mazishi asijeharibu, kila mtu atajua, usicheze na pafyumu Gift of Zanzibar
 
Ewaaa, hapo ndo nakuaminiaga sasa, nitaulamba hadi bob mazishi asijeharibu, kila mtu atajua, usicheze na pafyumu Gift of Zanzibar
Nakujuaaa ukiamuaa mbona atakubari mamaaah na unavompendaaa wewe mwambie mapema mm yule rafiki yetu wa carina namtumiaa ya mafuta Leo mnaingia kama waziri wa mipango ....

Bhinamu alafu pale Buku nimeiacha kwa meza sijui imedondokaa apo ndani ?? Ukiipata nitumie mpesa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…