Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 16, 2017 #142,561 Transcend said: leo katika je wajua; on behalf of Ray van Boy ; Je wajua kuwa mwezi february mwaka 1865 ndio pekee ambao hakuwa na mwezi mzima (full moon) Click to expand... Duh
Transcend said: leo katika je wajua; on behalf of Ray van Boy ; Je wajua kuwa mwezi february mwaka 1865 ndio pekee ambao hakuwa na mwezi mzima (full moon) Click to expand... Duh
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 16, 2017 #142,562 usser said: Naomba niwasalimie leo Click to expand... Tunashukuru mkuu
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 16, 2017 #142,563 Transcend said: Je wajua? Je wajua bara la Antarctica ndio bara pekee lisilokuwa na nyoka wala reptilian. hii inasababishwa na hali ya hewa iliyoko katika bara hilo. Click to expand... Kule wapo Dubu pekee au?
Transcend said: Je wajua? Je wajua bara la Antarctica ndio bara pekee lisilokuwa na nyoka wala reptilian. hii inasababishwa na hali ya hewa iliyoko katika bara hilo. Click to expand... Kule wapo Dubu pekee au?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 464,001 Mar 16, 2017 #142,564 lee empire said: Preshaa tupuu Click to expand... baby achana na mukongo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 464,001 Mar 16, 2017 #142,565 Transcend said: Hahaaaa ! Umerudi shem... Karibu tena.. Click to expand... we mtu unaweza kuua watu
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 16, 2017 #142,566 Shunie said: we mtu unaweza kuua watu Click to expand... Hahahaaaaaaa! Karibu tena mkuu! Naona mlikimbia wote na lee...
Shunie said: we mtu unaweza kuua watu Click to expand... Hahahaaaaaaa! Karibu tena mkuu! Naona mlikimbia wote na lee...
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 16, 2017 #142,567 Mgonjwa yuko vizuri sana
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 16, 2017 #142,568 Nyagei said: Mgonjwa yuko vizuri sana Click to expand... Mondray yuko pouwa eeh?
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 16, 2017 #142,569 Je wajua? Je wajua kwamba papa ndio samaki pekee anayeweza kupepesa macho yote. Attachments 2-Shark-Eyes-Have-Been-Used-As-Replacements-In-Human-Surgery.jpg 21.3 KB · Views: 32 download (2).jpg 6 KB · Views: 28 shark-eyes-1.jpg 19.8 KB · Views: 32
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 464,001 Mar 16, 2017 #142,570 Transcend said: Je wajua? Je wajua kwamba ni vigumu kwa nguruwe kutazama juu angani kutokana na umbile lake. Click to expand... mdudu
Transcend said: Je wajua? Je wajua kwamba ni vigumu kwa nguruwe kutazama juu angani kutokana na umbile lake. Click to expand... mdudu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 464,001 Mar 16, 2017 #142,571 Transcend said: Hahahaaaaaaa! Karibu tena mkuu! Naona mlikimbia wote na lee... Click to expand... hahhahah
Transcend said: Hahahaaaaaaa! Karibu tena mkuu! Naona mlikimbia wote na lee... Click to expand... hahhahah
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,097 Mar 16, 2017 #142,572 lee empire said: Oooooooh karibuuu sana mkuu Click to expand... Ahsante sana mkuuu cjui ntakaa wap Bdo hujanionesha sit
lee empire said: Oooooooh karibuuu sana mkuu Click to expand... Ahsante sana mkuuu cjui ntakaa wap Bdo hujanionesha sit
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 16, 2017 #142,573 lee empire said: Leoo unapiga 2 in 1 Asanteeee Click to expand... Sinaga utani mkuu! Tatizo time! Bampa to Bampa tuu
lee empire said: Leoo unapiga 2 in 1 Asanteeee Click to expand... Sinaga utani mkuu! Tatizo time! Bampa to Bampa tuu
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 16, 2017 #142,574 Transcend said: Je wajua? Je wajua kwamba ni vigumu kwa nguruwe kutazama juu angani kutokana na umbile lake. Click to expand... Ni dili sana huyu mdudu
Transcend said: Je wajua? Je wajua kwamba ni vigumu kwa nguruwe kutazama juu angani kutokana na umbile lake. Click to expand... Ni dili sana huyu mdudu
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,097 Mar 16, 2017 #142,575 Transcend said: Je wajua? Je wajua bara la Antarctica ndio bara pekee lisilokuwa na nyoka wala reptilian. hii inasababishwa na hali ya hewa iliyoko katika bara hilo. Click to expand... Dhuuuu hawa nnao waona co nyoka Mkuu
Transcend said: Je wajua? Je wajua bara la Antarctica ndio bara pekee lisilokuwa na nyoka wala reptilian. hii inasababishwa na hali ya hewa iliyoko katika bara hilo. Click to expand... Dhuuuu hawa nnao waona co nyoka Mkuu
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 16, 2017 #142,576 Kwenye ulimwengu wa totoz Kiafya pia yuko poa atarejea jioni
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 16, 2017 #142,577 je wajua? je wajua kuwa cocacola mwanzoni ilikuwa ya kijani Attachments images (3).jpg 12.5 KB · Views: 27 1412108834000-XXX-Coca-Cola-Life-1250.JPG 16 KB · Views: 36 Family-size-red-crate-white.jpg 13.7 KB · Views: 31
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 16, 2017 #142,578 Transcend said: Je wajua? Je wajua kwamba papa ndio samaki pekee anayeweza kupepesa macho yote. Click to expand... Ndiye mbabe wa baharini
Transcend said: Je wajua? Je wajua kwamba papa ndio samaki pekee anayeweza kupepesa macho yote. Click to expand... Ndiye mbabe wa baharini
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 16, 2017 #142,579 Transcend said: je wajua? je wajua kuwa cocacola mwanzoni ilikuwa ya kijani Click to expand... Hayo makreti kitambo sana enzi ya primary
Transcend said: je wajua? je wajua kuwa cocacola mwanzoni ilikuwa ya kijani Click to expand... Hayo makreti kitambo sana enzi ya primary
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,097 Mar 16, 2017 #142,580 Transcend said: Karibu mkuu Click to expand... Asante sana mkuu mnigawie na mn Haya nazur mnayofaid huku pekeenu
Transcend said: Karibu mkuu Click to expand... Asante sana mkuu mnigawie na mn Haya nazur mnayofaid huku pekeenu