Huyu dada mimi nampenda sana, ni mstaarabu sana, ni maombi yangu apate mwenzi mwema makapuku.. by mtumishiHakika huyu ndie...
Nenda ukawambie wengine uliyoyaona kwamba
Likes zimeongezeka,Uzi unapepea na makapuku wameonekana kwa wingi
Sera anazo....... Mengineyo tusubirie replies zisome 20kWewe ni shahidi, vp sizzy007 ameweza au hana sera
Hatujampa hata kalike ka1Ye mwenyewe ana likes chache kama maksi za mitihani sisi atatupa nini? Huenda alikuja akidhani atapata likes kadhaa ila naona kaambulia patupu
Mmmh ebu chunguzaa vzr usijee ukakutaa uvumilivuuu unamtafunaa ndan kwa ndaniiusizzya007 ndo anavyopenda jamani
Eimen eimeen eimeeeenHuyu dada mimi nampenda sana, ni mstaarabu sana, ni maombi yangu apate mwenzi mwema makapuku.. by mtumishi
Na gym anaenda, yuko fit kabisaaaaIlaa umeangaliaa afyaa yakeee maana amepunguaa coz huo mchakaa mchaka unaompaa sio wa kitoto
Wasiwasi wako tuMmmh ebu chunguzaa vzr usijee ukakutaa uvumilivuuu unamtafunaa ndan kwa ndaniiu
Umemwona dada vailentina!Sera anazo....... Mengineyo tusubirie replies zisome 20k
Atakuja tu, maana hata mimi nilikuwa busy kwa mda.Sawa mkuu ila naona leo kidogo amekuwa adimu.
Mshamba tu yule.....Wale ajilete nimfukuzie porini, asijifanye mjanja huku ni porini hatuonani asilete uki...
Nasubiriaaa mwalikoo tu wa harusii tuWasiwasi wako tu
Shem hajajitokezaaAtakuja tu, maana hata mimi nilikuwa busy kwa mda.
Swalama kabisa mama,hope umeamka salama salmin.
New couple?Mi mzima mpenzi
Hahaha.oya Th Name mbona mkeo anapenda kulike comment zangu sana, ananipenda au??? simuelewi