Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 15, 2017 #142,001 werrason said: Habari za hapa? Click to expand... Salaaaaaaamaaaaa Baba wa mchumba
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Mar 15, 2017 #142,002 Mussolin5 said: 1493 - Christopher Columbas anarudi zake Hispania mara baada ya kufanya safari yake ya kwanza Marekani. Click to expand... Naskia kiukweli hakuwa Explorer alikuwa Mnyang'anyi
Mussolin5 said: 1493 - Christopher Columbas anarudi zake Hispania mara baada ya kufanya safari yake ya kwanza Marekani. Click to expand... Naskia kiukweli hakuwa Explorer alikuwa Mnyang'anyi
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Mar 15, 2017 #142,003 Mussolin5 said: - Siku ya kimataifa ya kupinga Uonevu wa Polisi. Click to expand... Sio hapa kwa Sizonje
Mussolin5 said: - Siku ya kimataifa ya kupinga Uonevu wa Polisi. Click to expand... Sio hapa kwa Sizonje
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Mar 15, 2017 #142,004 Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwatakie siki njema. Click to expand... Merci Papaa
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Mar 15, 2017 #142,005 Transcend said: Morning kapukuz... Lee asante kwa magazeti.. Mussolin5 asante kwa historia! Bitoz asante kwa picha Nawatakia siku njema wakuu Click to expand... Nawe pia
Transcend said: Morning kapukuz... Lee asante kwa magazeti.. Mussolin5 asante kwa historia! Bitoz asante kwa picha Nawatakia siku njema wakuu Click to expand... Nawe pia
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Mar 15, 2017 #142,006 Shunie said: aisee mahaba yote yale lady jaydee na mnigeria wake wamemwagana kazi ipo Click to expand...
Shunie said: aisee mahaba yote yale lady jaydee na mnigeria wake wamemwagana kazi ipo Click to expand...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Mar 15, 2017 #142,007 Shunie said: Pogba wetu Click to expand... Wenu na nani?
Te Lavista JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,626 Reaction score 2,847 Mar 15, 2017 #142,008 lee empire said: Nyie vijana mna matatizo Click to expand... Wewe hujawahi kuumwa eti
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 15, 2017 #142,009 Ray van Boy said: Wakuu niko hoi balaaa Toka asubuhi sijaamka kabisa Click to expand... Ambao hawajaamka ni marehemu ndugu
Ray van Boy said: Wakuu niko hoi balaaa Toka asubuhi sijaamka kabisa Click to expand... Ambao hawajaamka ni marehemu ndugu
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 15, 2017 #142,010 werrason said: Habari za hapa? Click to expand... Salama
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 15, 2017 #142,011 werrason said: Habari za hapa? Click to expand... mukongo umepotea
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 15, 2017 #142,013 werrason said: Wenu na nani? Click to expand... wetu na ww, na mussolin, na Transcend bila kumsahau na Lee pia
werrason said: Wenu na nani? Click to expand... wetu na ww, na mussolin, na Transcend bila kumsahau na Lee pia
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 15, 2017 #142,014 Ray van Boy said: Wewe hujawahi kuumwa eti Click to expand... Umesema kama unaumwa??
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,257 Mar 15, 2017 #142,015 werrason said: Merci Papaa Click to expand... Pamoja sana.
Te Lavista JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,626 Reaction score 2,847 Mar 15, 2017 #142,016 lee empire said: Umesema kama unaumwa?? Click to expand... Si nimesema kua nipo hoi yaani naumwa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 15, 2017 #142,017 Ray van Boy said: Si nimesema kua nipo hoi yaani naumwa Click to expand... pole sna Mungu akuponye nn zaidi
Ray van Boy said: Si nimesema kua nipo hoi yaani naumwa Click to expand... pole sna Mungu akuponye nn zaidi
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 15, 2017 #142,019 Clkey said: Makapuku Click to expand... Yupo
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 15, 2017 #142,020 Obe said: Habari za muda Makapuku Click to expand... Njema