Makapuku Forum

Nshajibu au kuna swal kauliza sijaona?

Ila mkuu nsaidie maana ya kapuku
Maana ya kapuku..;

Hili neno linamaanisha member wa jf ambao sio maarufu au ni underground au watu ambao sio wakongwe wa jf..
ukirudi nyuma hadi post # 5 utakuta link yenye maelezo mengi zaidi..

Hii ilianzishwa baada y baadhi ya members kudharauliwa, kufanyiwa kejeli na wakongwe wa jf. Wakati mwingine unasutwa tuu kisa huna umaarufu..

Hapo ndo ikawapo thread ya makapuku ambayo itamheshimu kila mtu ambaye sio maarufu! Huku unatoa mchango na unaheshimiwa kama member mwingine..


Mkuu Bitoz unaweza ukaongeza nyama kidogo..

Cc:
Bitoz
Baily 5
Na makapuku wote..
 
Umesomeka mubashara
 
 
Sometimes feelings ni kikohozi hiwezi kuficha..!so hujakosea brooh!


Ila we both made the day together! Makupuku woteee....!

Falsafa yetu ni kuwa makapuku wote ni sawa na hakuna anayemzidi mwenzie!

Everyone deserve a Credit!
Nilichokifikiri ni kwamba leo ni kama mechi uwanjani na katika hii mechi wewe ndio umekuwa mchezaji bora wa mechi
 
Maana mubashara hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…