Milelee aminaaaaaaaaa! Barikiwa mkuu
JE WAJUA??
kanisa katoriki limeweka rekodi ya kuwa na mtakatifu ambaye alikua anaonekana sehemu mbili kwa wakat mmoja.
Eg: Muda huu anaweza kua yupo Dar anahubir na muda huo huo yupo kigoma anabatiza.
Kakataa kujibu jamaaa eti fake story duuh.Akijibu nitag
Addition:Umetumia lugha mubashara
Nyagei Bitoz kasababisha huku
Ila ni kweli ukiwazimisha watu huwez tabasam hata kidogoAddition:
Nilichoona kwenye picha ya simba pale...!
Wakati ukawa wanatoka huwezi kutabasamu hata kidogo
Kama unabisha leo kajaribu kutabasamu ukipewa
Tayari mkuu!Jibu swali langu ohohoo jifanye hulioni
Ahaaaaaaaaah chiziiiiiii kweliii mkuuuAddition:
Nilichoona kwenye picha ya simba pale...!
Wakati ukawa wanatoka huwezi kutabasamu hata kidogo
Kama unabisha leo kajaribu kutabasamu ukipewa
Kakugusa penyeweAhaaaaaaaaah chiziiiiiii kweliii mkuuu
Shunie hajaona ile comment eeh? Haaaaa!Ahaaaaaaaaah chiziiiiiii kweliii mkuuu
Kashaionaaaa ila ameelewaa ni utaniShunie akiona ile commet! ! Hahahaa! Kidding mkuu!
JE WAJUA??
Jim Carrey kabla hajawa maarufu alikua anaishi kwenye Volkswagen Van yeye na familia yake
Nimecheka kwa sauti mpaka watu wamenishangaa.Addition:
Nilichoona kwenye picha ya simba pale...!
Wakati ukawa wanatoka huwezi kutabasamu hata kidogo
Kama unabisha leo kajaribu kutabasamu ukipewa
Wakikuuliza nini? Waambie ndo life la makapuku...! Free-stress zone.Nimecheka kwa sauti mpaka watu wamenishangaa.
Umetoa fact ya ukweli
JE WAJUA??
Michael Jackson alitaka kufanya Harry potter mussical lakini J.k. Rowling alikataa