Makapuku Forum

Apana ata somo lenyewe mwalimu ni dojaaa mzuri ...notice alininyima sikulielewaa
Nilikunyima notice?

Bora nistop tuu..mondray nilimpokea vizuri...nikamtafutia binti naitwa Frem zero...akakimbiwa..! Tukamtafutia paprika..bado kala za mbavu...


Sasa anatongoza hadi wanaume..!


Yaani ukibadili avatar kesho anaweza akakupiga sound hapa hapa jukwaani
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaah mwalimu katika ubora wakoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…