Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Mar 10, 2017 #140,201 Werrason natambua uwepo wako
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 10, 2017 #140,202 Bitoz said: Aliniboa alipokubali serikali ya mseto wakati uchaguzi alishinda halafu akafanyiwa figisu Waafrika hatujitambui ... Click to expand... Naskia ni kibaraka wa USA
Bitoz said: Aliniboa alipokubali serikali ya mseto wakati uchaguzi alishinda halafu akafanyiwa figisu Waafrika hatujitambui ... Click to expand... Naskia ni kibaraka wa USA
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 10, 2017 #140,203 werrason said: Morning Mama Mchungaji.....tafadhali usi-quote magazeti, tena mengi hivyo, bora lingekuwa 1-2 Click to expand... Morning ,asante nimekuelewa mkuu
werrason said: Morning Mama Mchungaji.....tafadhali usi-quote magazeti, tena mengi hivyo, bora lingekuwa 1-2 Click to expand... Morning ,asante nimekuelewa mkuu
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 10, 2017 #140,204 werrason said: Habarini za Asubuhi wapendwa Click to expand... Njema umeamkaje mkuu
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 10, 2017 #140,205 werrason said: Habarini za Asubuhi wapendwa Click to expand... Njema umeamkaje mkuu
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 10, 2017 #140,206 Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwatakie Ijumaa njema, na maandalizi mema ya Wikendi. Thanks God Its Friday. TGIF Click to expand... Nawe pia mkuu Mussolin5 ,siku njema ubarikiwe
Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwatakie Ijumaa njema, na maandalizi mema ya Wikendi. Thanks God Its Friday. TGIF Click to expand... Nawe pia mkuu Mussolin5 ,siku njema ubarikiwe
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Mar 10, 2017 #140,208 Mussolin5 said: Hakika ni dikteta wa soka, Waingereza wanaamini walinyimwa kuandaa Kombe la Dunia la mwaka 2018 kwa fitna na hila za Blatter. Click to expand... Ndo maana walichangia kwenye figisu za kumuondoa FIFA baada ya kuunganisha nguvu na Wamarekani .....
Mussolin5 said: Hakika ni dikteta wa soka, Waingereza wanaamini walinyimwa kuandaa Kombe la Dunia la mwaka 2018 kwa fitna na hila za Blatter. Click to expand... Ndo maana walichangia kwenye figisu za kumuondoa FIFA baada ya kuunganisha nguvu na Wamarekani .....
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Mar 10, 2017 #140,209 werrason said: Naskia ni kibaraka wa USA Click to expand... Sometime YES ,sometime NO .....
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Mar 10, 2017 #140,210 Asante mkuu Bitoz kwa picha za historia barikiwa
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 10, 2017 #140,211 Mondray said: My role model huyu, alikua binge la hb ila matendo duu Click to expand... role-model wako kivipi yani?
Mondray said: My role model huyu, alikua binge la hb ila matendo duu Click to expand... role-model wako kivipi yani?
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 10, 2017 #140,212 QUIGLEY said: Werrason natambua uwepo wako Click to expand...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 10, 2017 #140,213 BlessedHope said: Njema umeamkaje mkuu Click to expand... Niko Poa sana
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Mar 10, 2017 #140,214 werrason said: Niko Poa sana Click to expand... Merci bo...
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 10, 2017 #140,215 werrason said: role-model wako kivipi yani? Click to expand... Napenda alivyokua anajiamini, master mind, mbabe etc.
werrason said: role-model wako kivipi yani? Click to expand... Napenda alivyokua anajiamini, master mind, mbabe etc.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Mar 10, 2017 #140,216 Mondray said: Napenda alivyokua anajiamini, master mind, mbabe etc. Click to expand... .....killing, hatred,.....
Mondray said: Napenda alivyokua anajiamini, master mind, mbabe etc. Click to expand... .....killing, hatred,.....
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 10, 2017 #140,217 Mussolin5 said: Angalia picha toka kwa Bitoz Click to expand... Nimemuona mkuu
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 10, 2017 #140,218 Mussolin5 said: Jeuri ikamponza. Click to expand... Hakika
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Mar 10, 2017 #140,219 Niaje bad Guyz & Bad girl wa humu cell
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 10, 2017 #140,220 Mussolin5 said: Lakini huwa hachukuliwi hatua yoyote. Mauaji aliyofanya George Bush akiwa Rais ni mengi lakini U.N imekaa kimya. Who cares? Angekuwa ni kiongozi wa Kiafrika saa hizi yupo ICC. Click to expand... Inasemekana ICC ni kwa ajili ya Africans leaders
Mussolin5 said: Lakini huwa hachukuliwi hatua yoyote. Mauaji aliyofanya George Bush akiwa Rais ni mengi lakini U.N imekaa kimya. Who cares? Angekuwa ni kiongozi wa Kiafrika saa hizi yupo ICC. Click to expand... Inasemekana ICC ni kwa ajili ya Africans leaders