Makapuku Forum

Hawa PSG sijui

Mussolini 5 alishasema tutaona matokeo tusiyoyategemea
Kabla Barcelona hajamuua vizuri PSG, PSG alijiua mwenyewe kwa clear chance za Cavan na Di Maria.......

Kabla hujaanza kumlaumu refa kwanza kwa zile penalt, anza kwanza na hawa walioiuwa timu yao wenyewe..... Alafu ndio refa afuate sasa.

Penalt ya kwanza kabisa refa alishaipa Fair play ila refa wa pembeni ya goli akafunika mkono...... Penalt ya pili ni dhambi ya kila wakati ya Luis Suarez kutengeneza matukio. Hapa Suarez na Neymar walifanikiwa ku win mind technical ya refa katika matukio mawili tofauti.......

Unakosa magoli ya aina ile kwa wakati muhimu kama ule..... Angel Di Maria na Edson Cavan bahati yenu kubwa ni kuwa mna ulinzi wa kutosha.... Shame in you di Maria, Cavan na referees dk 5 zimekujaje Camp Nou...?
 
Michezo na burudani

Ukistaajabu ya Ben 10 fc utayaona ya barca fc ....1,2,3,4,5,6 The best Barcelona so far...... The best Henrique..... Performance za dunia hizi,hapa kawaongezeaa uchungu Ben 10 fc kwa nini wao washindwe kujaribu ...

Matokeo UKWAJU kabisa haya.... kwa wale tuliobahatika kumsikiliza yule mtangazaji wetu pendwa yuleeeee bwanaaaaa yuleeeee kupitia beIN sport asee Yule mwarabu Mungu anamuona......

FT: Barcelona 6-1 PSG (aggr 6-5).



Tukayapitie ...
 
TENGENEZA SHS 17,000,000 NDANI YA MIEZI 6

Ukijiunga na ADSCASH kuanzia sasa hivi unaweza Kupata kipato cha zaidi ya Tshs 17,000,000 ndani ya muda mfupi ujao wa miezi 6 tu!

Kwenye kampuni ya ADSCASH Kuna vifushi vipatavyo 7 vyenye nyota zenye coin hadi 4000!!

Naomba kwa kifupi tu nikufafanulie kifurushi cha nyota 5 na kifurushi cha nyota 7 tu uone maajabu ya kipato kwenye Sarafu hii mpya ambayo inazinduliwa mwisho wa mwezi huu wa Machi!!

Ukinunua Kifurushi cha nyota 5 maana yake wewe utakinunua kwa zaidi ya shs 50,000 kama uwekezaji wako kwenye kampuni na hapo utapata coin 1000!!!!

Hizo coin 1000 + 100 utakuwa na coin 1,100. Endapo utazibadilisha kuwa dollars au Bitcoins hapo ndipo utapewa fedha!!

Kama coin moja itakuwa $1 utalipwa $ 1,100 takribani shs 2,600,000 hivi!

Kama coin itakuwa ni $5 wewe hapo utakuwa na utajiri wa $5,500 au shs milioni 13,000,000 hivi!

Na kama coin moja itapanda bei hadi kufikia$10 ( eeeeh Mungu saidia ipande haraka) mtu mwenye kifurushi cha nyota 5 hicho atakuwa na $11,000 sawa na zaidi ya shs 25,000,000!!

Kwa hiyo mtu mwenye kifurushi cha nyota 5 huo ndo ushuhuda wake utakavyokuwa kwa mwaka mmoja huu ndani ya Adscash business!!

Mambo matamu sana yanakuja!! Wajasiriamali wa ukweli huwahi fursa za ukweli!!

Ukiwa na kifurushi cha nyota 7 chenye coin zaidi ya 4000+100 utakuwa na uwezo wa Kupata team bonus zote za team yako!!

Hadi siku ya UZINDUZI coin za adscash zitakuwa na bei ya centi 2.5 za kimarekani!! Coin 4000 utazinunua kwa USD 100 !! Baada ya uzinduzi wa kampuni hii coin zako 4100 utaweza kuzitoa au withdraw 4100 kwa rate ya $1 au $2! Hapo sasa coin zako 4100 zitakuwa na thamani ya $4,100 sawa na Tshs 9,500,000 hivi kwa rate ya $1 kwa coin!

Kama coin moja itakuwa$2 hapo utakuwa na
$8,200 sawa na Tshs 17,000,000 hivi!

Endapo mtu mwinye team kubwa hatanunua package yoyote hatapata pesa hiyo! Ataambulia coin 100 tu hizo za Bure!

Na huu utakuwa ujinga wa hali ya juu kuamua kujiunga na wajinga wasioona mbali!! Yaani wewe unaweza kuanzia wapi kwa mfano kuacha kuwekeza kwenye Sarafu za adscash kwa shs 250,000 ambazo zaweza kukupatia Tshs 17,000,000 baada ya miezi mitatu au sita?

Jiunge sasa kwa Link hiyo chini na upate coins 100 bure kisha utakuja kuamua uwekeze katika kifurushi gani kulingana na uwezo wako.

(AdsCash a new secure ,decenralized cryptocurrency exclusively for the Adworld. A new advertising payment system.)
 
Hapa hata wanunuzi wa rejareja lazima walipungua maana tayari walipiga marufuku,ukweli atakua aliwaza mengi mno,biashara ngumu kila kona,deni,mkopo,utajiri,kushtakiwa,kufilisiwa vyooooote peke yake na hakupata jibu so sad.
Ndio kukosa wa kumshauri ndio tatizo. Angenitafuta hata mimi ningempa ushauri vijijini ndio kuna wateja wakubwa wa hizo bidhaa, angesambaza kwa nduguze kisha wakawa wanausambaza mzigo nyakati za jioni na life lingesonga pasi na mkono wa sheria kumkuta.
 
Mgeni umekuja makapuku tuu pwaaa! Na tangazo la biashara?

Karibu sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…