Makapuku Forum

Leo Katika Historia:

1985 - Wimbo wa " We are the World " yaachiwa kwa mara ya kwanza huko Marekani.

Wimbo huo maarufu uliandikwa na Michael Jackson na Lionel Richie.
Producer alikuwa Quincy Jones.

Baadhi ya wasanii walioshiriki ni Micjael Jackson, Janet Jackson, Lionel Richie, Kenny Rogers, Steve Wonder, James Ingram na wengineo.

Ulikuwa ni wimbo wa hisani kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Waafrika waliokumbwa na baa la njaa hasa Ethiopia.

Ni moja kati ya nyimbo zenye mafanikio kwani iliuza zaidi ya nakala Milioni 20.
 

Mwenye video atupie
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…