BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Makapuku Raha sanaaaMWANDISHI:Habari yako mzee, kwani Ng'ombe wako huwa unawalisha nini? [emoji23]
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia,? Mweupe au mweusi? [emoji30]
MWANDISHI:Mweupe.
MZEE:Huyo namlisha majani. [emoji23][emoji23][emoji23]
MWANDISHI:Na mweusi!!!? [emoji20]
MZEE:Namlisha majani pia.
MWANDISHI:Umeanza kufuga lini hawa Ng'ombe wako? [emoji57]
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI: Mweupe. [emoji45]
MZEE:Huyo nimeanza mwaka jana.
MWANDISHI:Na Mweusi!!!?
MZEE:Mwakajana pia.
MWANDISHI:Hivi Ng'ombe wako huwa wanalala wapi? [emoji19]
MZEE:Ng'ombe yupi mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.[emoji35]
MZEE:Analala hapo kwenye boma.
MWANDISHI:Na mweusi analala wapi!!?[emoji36]
MZEE:Analala kwenye boma pia.
MWANDISHI:Kwanini nikikuuliza kuhusu Ng'ombe wako naww unaniuliza mweupe au mweusi alafu unatoa majibu sawa???? [emoji34]
MZEE:Kwasababu Ng'ombe mweupe ndo wakwangu.
MWANDISHI:Enhe! Na huyo mweusi ni wanani??
MZEE:Ni wangu pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha unaenda wapi mkuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Karibu sana umeshindaje lakini afya yako?Mungu ae.ndelee kukuponyaHabari zenu wakuu, kama nilivyo ahidi sasa naanza rasmi kuleta facts mbalimbali
Sikujua kabisa..asanteJE WAJUA??
Mwili wa mtu mzima umeunndwa na Atom 7, 000,000, 000, 000, 000, 000, 000, 000,000
7 Quadrions
Hahaahaha kumbe unweza usifanane na wewe mwenyewe I see newsJE WAJUA
Kwenye shindano la kutafuta watu wanao fanana na CHARLIE CHAPLIN na yeye mwenyewe alishiriki lakini alitoka mshindi wa tatu
Shunie aje kwakweli asimis kipindi...Shunieeeeee. Njooooo pleaseNamsubiria kipanga wangu shunie mmi zimenishinda
Hata hili kimenitia woga..hofu kuuJE WAJUA??
Hippopotomonstrosesquippedaliophobia
Ni uoga wa maneno/neno refu au marefu
Asante picha inaongeza uelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi kwakweli...huwa naogopa kuangalia matokeeo yale maana siaminiIla Mimi sikupata bashiiiiteee
Safi tu ila miguu ndio haina nguvu maumivu kwenye magotiKaribu sana umeshindaje lakini afya yako?Mungu ae.ndelee kukuponya
Hatariii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeye mwenyewe hafanani na yeye[emoji56] [emoji23]
Watakua wanapata sana pesa vujana wanapenda sana hizi picha..mimi naziogopa kama hofu ya neno refuuuuu
Upumzike mkuuuNzuri kiasi chake micheki mkuu
[emoji14] [emoji14] [emoji14]Thubutu ....bora shululu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji111]hahahh humuamin mukongo niende nae kwenye machimbo ya almasi
Mmmh..basi wengi hawajui mkuu nitaelimisha watu..wanalipendaa sanaJE WAJUA??
Neno SWAG ni neno lililoanza kutumiwa miaka ya 60 wanaume mashoga likiwa linamaanisha Secretly We Are Gays
Hata futbol wako na kipaji sanaJE WAJUA??
Kigoma ndio mkoa ambao wakazi wake wamejaliwa vpiji vingi vya aina tofauti. Mfano 50% ya mastaa wakubwa wa Muziki Tanzania wanatoka kigoma.
..... Me am excluded
Apumzike kwa Amani...JE WAJUA???
Chrisypuss
Ni mwana philosopher ambaye alifariki kwa ajili ya kucheka. Yaani alitunga mwenyewe kichekesho/kituko kikamchekesha hadi akafariki