Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170225-WA0006.jpg
 
Yaani sijui kichuya ana nini na yanga...

Kama mchawi vile....! Mtu anapiga goli sehemu usiyodhania anapiga goli..

Ile kona walionaga uchawi..

Hili goli la leo sijui wanajisikia vipi afu ndo la ushindi sasa..[emoji460][emoji460][emoji460]
 
Back
Top Bottom