1981 - Ji Sung Park anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Man Utd , Qpr na PSV Eindhoven na timu ya taifa ya Korea Kusini.
Mchezaji mwenye mafanikio zaidi kutoka bara la Asia baada ya kushinda jumla ya vikombe 19 katika carrer yake.
Ni mchezaji wa kwanza kutoka Asia kushinda taji la Uefa Champions League, Fifa Club World cup.
Alisifika zaidi kwa kupafomu kwenye mechi ngumu na kubwa.
Andrea Pirlo anadai kuwa mtu pekee aliyekuwa anajua kumkaba na asiyependa kukutana nae uwanjani ni Js Park.
Kwasasa ni balozi wa Man Utd.