Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
1945 - Uturuki yatangaza vita dhidi ya Ujerumani katika vita kuu ya pili ya Dunia.
Ji sung Park! Ji sung Park!1981 - Ji Sung Park anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Man Utd , Qpr na PSV Eindhoven na timu ya taifa ya Korea Kusini.
Mchezaji mwenye mafanikio zaidi kutoka bara la Asia baada ya kushinda jumla ya vikombe 19 katika carrer yake.
Ni mchezaji wa kwanza kutoka Asia kushinda taji la Uefa Champions League, Fifa Club World cup.
Alisifika zaidi kwa kupafomu kwenye mechi ngumu na kubwa.
Andrea Pirlo anadai kuwa mtu pekee aliyekuwa anajua kumkaba na asiyependa kukutana nae uwanjani ni Js Park.
Kwasasa ni balozi wa Man Utd.
Chapaaaa Yeboyebooo!Leo Katika Historia:
Niwatakie wikend njema, Wale wa Simba na Yanga tukutane baada ya mechi.
Kijana ulipotea Mbona hukuagaMorning kapukuz
Amen Mussolin5 ubarikiwe Na uwe Na siku njema asante kwa historian magazeti ya nje asante kwa kujaliLeo Katika Historia:
Niwatakie wikend njema, Wale wa Simba na Yanga tukutane baada ya mechi.
1968 - Wanakijiji 135 wanauwawa huko katika Kijiji cha Ha My kusini mwa Vietnam wakati wa vita maarufu ya Vietnam.
Wanakijiji hao wasiokuwa na silaha waliuwawa bila hatia na kuzikwa haraka sana katika kile kilichokuja kuja kujulikana kama " Ha My Massacre "
Morning Transcend have a Blessed Wonderful weekendMorning kapukuz
Good morning Mondray God Bless youGood morning guys...... Thanks to
Lee kwa magazeti
Musolini kwa elimu
Bitoz kwa tupicha picha kugongelea misumali kaelimu.
Muwe na asubuhi njema wote
1986 - Rais Ferdinand Marcos wa Phillipines anakimbia Nchi hiyo mara baada ya maandamano makubwa mitaani yaliyojulikana kama People Power Revolution. Alikaa madarakani miaka 20.
Corazon Aquino anakuja kuwa Rais wa kwanza mwanamke nvhini humo.
So sad,kuua watu wanyonge wasio Na hatia Mungu awakumbuke marehemu hawa1968 - Wanakijiji 135 wanauwawa huko katika Kijiji cha Ha My kusini mwa Vietnam wakati wa vita maarufu ya Vietnam.
Wanakijiji hao wasiokuwa na silaha waliuwawa bila hatia na kuzikwa haraka sana katika kile kilichokuja kuja kujulikana kama " Ha My Massacre "
You too mkuu!Morning Transcend have a Blessed Wonderful weekend
Morning Werrason have a Blessed dayMorning guys.....mida basi!!!
1973 - Julio Iglesias anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri toka nchini Hispania.
Kwema mkuuMorning kapukuz