Makapuku Forum

happy birthday to u diktekta live long
 
Habari za kuamka wapendwa naamini wote mko salama namwomba Mungu awabariki katika kazi Na majukumu yenu muwe na afya njema Na furaha wale wote wenye changamoto Mungu awape wepesi n matumaini ,wagonjwa poleni Mungu atawaponya Mbarikiwe sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…